Kichwa: YEDUTHUNI TEAM - Ripoti ya Maendeleo na Mipango ya Uboreshaji
Tarehe: 21-07-2026
Kutoka: JOHN E. LUKINDO (MD)
Kwa: Uongozi wa Kanisa la FARAJA INTERNATIONAL PENTECOASTAL CHURCH
Kikosi cha uimbaji cha YEDUTHUNI kina changamoto za kimsingi katika ujuzi wa uimbaji. Waimbaji wengi hawana misingi sahihi ya sauti, harmonization, wala uelewa wa mbinu za kisasa za uimbaji wa kikundi. Hii inahitaji mkakati madhubuti wa mafunzo kuanzia msingi kabisa yaani hatua ya awali.
Itakuwa ni vyema kufanya audition tena kwa wanachama wote ili:
Siku 1-2: Utangulizi wa Sauti
Siku 3-4: Sauti za Msingi
Siku 5-8: Noti na Rhythm
Harmonization
Diction na Expression
Usawa wa Sauti
Maandalizi ya Audition
Utendaji wa Live
Tathmini ya Mwisho na Upangaji
Kwa kutumia mkakati huu wa mafunzo na kuwa na vyombo bora vya mziki, kikundi cha YEDUTHUNI kitaweza kufikia kiwango cha kimataifa katika uimbaji na kuhudumia kanisa kwa ufanisi zaidi. Ninaomba ushirikiano wenu katika utekelezaji wa mpango huu.
Title: YEDUTHUNI TEAM - Progress Report and Improvement Plans
Date: 21-07-2026
From: Music Director (MD)
To: Leadership of Faraja International Pentecostal Church
The YEDUTHUNI singing team faces fundamental challenges in vocal skills. Many members lack proper vocal foundation, harmonization skills, and understanding of modern choir techniques. This requires a comprehensive training strategy starting from the basics.
It will be necessary to conduct new auditions for all members to:
Days 1-2: Vocal Introduction
Days 3-4: Basic Vocal Techniques
Days 5-8: Notes and Rhythm
Harmonization
Diction and Expression
Vocal Balance
Audition Preparation
Live Performance
Final Evaluation and Planning
By implementing this training strategy and purchasing the right equipment, the YEDUTHUNI team can achieve international-level singing standards and serve the church more effectively. I request your cooperation in implementing this plan.